Picha za wanafunzi 32, walimu 2 na dereva mmoja wa Shule ya Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari Karatu mkoani Arusha


Juzi wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha walifariki dunia majira ya saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "Picha za wanafunzi 32, walimu 2 na dereva mmoja wa Shule ya Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari Karatu mkoani Arusha"

Back To Top